
BEKI AMPIGIA MAGOTI BOSI WA SIMBA
BEKI wa kimataifa wa Simba, raia wa DR Congo, Enock Inonga kabla ya kwenda kuungana na kikosi cha timu yake ya Taifa ya DR Congo, alilazimika kumuomba radhi Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez na viongozi wengine, kufuatia kosa la kadi nyekundu aliyopata dhidi ya Coastal Union. Inonga kwa sasa yupo kambini na timu yake ya Taifa ya DR Congo, kwa ajili…