Prince Dube amerejea kazini

PRINCE Dube mshambuliaji wa Yanga SC amerejea kazini mara baada ya kukosekana kwa muda kutokana na kutokuwa fiti. Dube ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Pedro Goncalves alikosekana kwenye mchezo wa ligi vs Mtibwa Sugar uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Katika mchezo huo mabingwa watetezi waligawana pointi mojamoja na Mtibwa Sugar ubao uliposoma Mtibwa…

Read More

Leo ratiba ya NBC Premier League

Leo Aprili 3, 2026 kuna mechi mbili kali zinatarajiwa kuchezwa ikiwa ni mzunguko wa 18 katika msako wa pointi tatu muhimu. Aprili 3,2026 Dodoma Jiji FC vs Fountain Gate Airtel, Singida saa 08:00 mchana Dodoma Jiji FC kwenye msimamo ipo nafasi ya 9 ikiwa na pointi 21 baada ya mechi 17 inakabiliana na Fountain Gate…

Read More

Usikae Kinyonge! Mchongo wa Pesa Upo Hapa Big Bounty Challenge

Kuna wale wanaocheza na kuna wale wanaoshinda. Wewe unataka kuwa upande gani? Meridianbet imefungua mlango wa mafanikio kupitia Big Bounty Challenge, mashindano yanayokupa nafasi ya kubadili kila mchezo kuwa nafasi ya kuingia kwenye orodha ya washindi wakubwa. Kupitia jedwali la uongozi la Games Global, kila mzunguko unaochukua unakusogeza karibu zaidi na kilele. Hapa hakuna mchezo…

Read More

Simba SC Yagonga Mwamba Kesi ya Camara

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF imetupa shauri lililowasilishwa na Simba SC kuhusu uhalali wa usajili wa mchezaji Mohamed Damaro Camara. Kwa mujibu wa uamuzi huo, kamati hiyo imeona kuwa hoja zilizowasilishwa hazina uzito wa kisheria au ushahidi wa kutosha kuweza kuthibitisha madai yaliyokuwa yakitolewa na klabu hiyo. Shauri hilo lilikuwa likihusu…

Read More

Nado aandika rekodi yake kwenye kiporo

IDD Seleman Nado nyota wa Azam FC amenadika rekodi yake kwenye mchezo wa kiporo dhidi ya Singid Black Stars kwa kukoleza moto uliofanya kiporo kisichache. Kiungo huyo alihusika kwenye magoli yote mawili yaliyofungwa na timu hiyo ambayo ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi msimu wa 2025/26 baada ya kucheza jumla ya mechi 16…

Read More