Pamba Jiji 0-2 Yanga SC, NBC Premier Leagu

Pamba Jiji FC 0-2 Yanga SC NBC Premier League Aprili 8, 2026 Uwanja wa CCM Kirumba Magoli yamefungwa na  Mudathir Yahya dakika ya 8 na 34 Asisti zote zimetolewa na Allan Okello dk 8 na 34 Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili 2025/26. Pamba Jiji FC wanatumia mfumo wa 4-3-3 huku Yanga SC wakitumia…

Read More

Pamba Jiji FC vs Yanga SC kituo kinachofuata

Pamba Jiji FC vs Yanga SC kituo kinachofuata katika NBC Premier League 2025/26 kwa wababe hawa wawili kusaka pointi 3 muhimu. Yanga SC 3-0 Tanzania Prisons ni matokeo yaliyopita kwenye mchezo wa ligi na mchezaji bora alichaguliwa Allen Okello raia wa Uganda ilikuwa ni Aprili 4, 2026, Uwanja wa KMC Complex. Mashujaa FC 0-0 Pamba…

Read More

Hii hapa ratiba ya Simba SC Aprili

SIMBA SC 2025/26 ina mechi za kazi zinafuata kwenye ratiba mara baada ya kukamilisha dakika 90 dhidi ya Azam FC kwa sare ya 0-0, Uwanja wa Azam Complex, Aprili 5, 2026. Hii hapa ratiba inayofuata kwa Simba SC:- TRA United vs Simba SC, Aprili 9, 2026, saa 10:00 jioni Simba SC vs Dodoma Jiji FC,…

Read More

Mechi atakazokosekana Diarra Yanga SC 2025/26

BAADA ya kuwa kwenye adhabu ya kufungiwa mechi 3 na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) kutokana na makosa ya kinidhamu mlinda mlango namba moja wa Yanga SC, Djigui Diarra tayari ameshakosekana kwenye mchezo mmoja wakiwa nyumbani na langoni alianza Aboutwalib Mshery. Yanga SC 3-0 Tanzania Prisons, Aprili 4,2026. Mchezo huu Yanga SC walikuwa nyumbani,…

Read More

Barcelona Yaichapa Atletico Ugenini, Yaendelea Kuongoza La Liga

Klabu ya Barcelona imeendelea kujiimarisha kileleni mwa La Liga baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Atletico Madrid katika mchezo mkali uliopigwa kwenye dimba la Metropolitano. Mchezo huo ulikuwa na ushindani mkubwa, ambapo wenyeji Atletico walitangulia kufunga dakika ya 39 kupitia kwa Simeone, kabla ya Barcelona kusawazisha dakika ya 42 kupitia kwa…

Read More