Simba SC 3-1 Dodoma Jiji FC, CRDB Federation Cup
Simba SC 3-1 Dodoma Jiji FC, CRDB Federation Cup ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa leo hatua ya 16 bora mchezo uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Simba SC wenyeji waliruhusu goli la mapema dakika ya 9 ambalo lilidumu mpaka muda wa mapumziko ubao ulipokuwa ukisoma Simba SC 0-1 Dodoma Jiji FC. Nyota wa…