Ibraheem Jabaar atozwa milioni 5 kisa kiwiko
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtoza faini ya Sh milioni 5 mchezaji wa Simba SC, Ibraheem Jabaar, kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji FC, Abdulkarim Iddy. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na TPLB, mbali na faini hiyo, adhabu ya kadi nyekundu aliyoonyeshwa Jabaar kutokana…