Pitch Ya Uwanja wa Benjamin Mkapa Yafanyiwa Marekebisho – Picha
Uwanja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa uko kwenye hatua za maboresho ya eneo la kuchezea (pitch), ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuuboresha ili uwe wa kisasa na kukidhi viwango vya kimataifa. Maboresho hayo yanahusisha uwekaji wa nyasi bora zaidi, uboreshaji wa mifumo ya umwagiliaji na mifereji ya maji, pamoja na kusawazisha uso…