Sancho Aanza Kuvutia Soko, Klabu Italia Yaingia Kwenye Mbio

Maslahi ya kumtaka mshambuliaji wa Manchester United, Jadon Sancho, yanaendelea kuongezeka huku klabu mbalimbali zikianza kuonyesha nia ya kumsajili kuelekea dirisha la usajili la majira ya kiangazi. Kwa mujibu wa ripoti za Sky Sports, klabu moja kutoka Italia ambayo haijatajwa jina tayari imefanya mawasiliano ya awali kuulizia uwezekano wa kumsajili nyota huyo. Wakati huohuo, Borussia…

Read More

Simba SC yachekelea ubingwa wa Muungano Cup 2026

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa kuna raha kubwa kupata ubingwa kwa kumfunga mpinzani ambaye ni msumbufu kwa muda mrefu. Aprili 29, 2026 Yanga SC 0-1 Simba SC katika mchezo wa fainali Muungano Cup, Uwanja wa New Amaan Complex huku mfungaji akiwa ni Seleman Mwalimu dakika ya 124…

Read More

Takwimu za magoli na wafungaji Muungano CUP 2026

LEO ni leo Muungano Cup Fainali, saa 2:15 usiku Uwanja wa New Amaan Complex, Yanga SC vs Simba SC huku kila timu ikivutia kwake kombe. Mabingwa watetezi ni Yanga SC walitwaa taji hilo 2025 je nani atakuwa bingwa leo? Matokeo yatajulikana kwa kuwa hakuna kujivunja. Hapa tunakuletea takwimu za magoli na wafungaji namna hii:- Takwimu…

Read More

Ujue muda wa mechi ya Yanga SC vs Simba SC

Yanga SC vs Simba SC, fainali Muungano Cup inatarajiwa kuchezwa kesho Aprili 29, 2026 Uwanja wa New Amaan Complex. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 2:15 usiku kwa wababe wawili kukutana uwanjani kusaka bingwa wa Muungano Cup 2026. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Pedro Goncalves. Simba SC…

Read More

Matokeo ya Simba SC Muungano Cup 2026

Simba SC imekata tiketi ya kutinga hatua ya fainali Muungano Cup 2026 kwa ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Mlandege FC katika mchezo nusu fainali ya pili. Ushindi huo unaipata tiketi kukutana na Yanga SC kwenye mchezo wa fainali unaotarajiwa kuchezwa Aprili 29, 2026 Uwanja wa New Amaan Complex. Ni wazi kwamba mabingwa watetezi wa…

Read More

Yanga SC vs Simba SC, Muungano Cup fainali

Yanga SC vs Simba SC ni Dabi ya Kariakoo, Kombe la Muungano Cup kwa wababe hawa kupambana kusaka taji. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa kesho 29/4/2026 Jumatano, Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kuanzia majira ya saa 2:15 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Yanga SC wanaingia katika mchezo huu kama mabingwa watetezi, huku watani zao…

Read More