KVZ vs Azam FC ni leo

Kombe la Muungano leo Jumatano Aprili 22, 2026 linaendelea ikiwa ni hatua ya robo fainali kwa wababe wawili kushuka uwanjani kusaka tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali. Uwanja wa New Amaan saa 1:15 usiku utapigwa mchezo mmoja utakaowakutanisha KVZ vs AzamFC. Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge amesema wapo tayari kwa mchezo huo…

Read More

Simba SC ndani ya Zanzibar

KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu,Steve Barker kimewasili Zanzibar leo Aprili 22, 2026 kwa maandalizi ya mwisho mchezo wa robo fainali Muungano Cup. Timu hiyo inatarajiwa kutupa kete yake ya kwanza Aprili 23, 2026 itakuwa dhidi ya Mafunzo SC, saa 2:15 usiku. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga SC ambao…

Read More

Feisal Salum ni King of Asisti NBC Premier League

Rekodi zinazidi kuandikwa ndani ya Tanzania Premier League ambayo ni ligi namba 6 kwa ubora Afrika. Wakati timu mbili zikiwa hazijapoteza ndani ya ligi, Yanga SC na Azam FC kinara kwenye kutengeneza pasi za mwisho maskani yake ipo Azam Complex kwenye mechi za nyumbani. Ni Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum huyu ni King…

Read More

Manchester City Yashinda 2-1 Dhidi ya Arsenal FC, Erling Haaland Aibeba Timu Kwenye Mbio za Ubingwa

Erling Haaland ameibuka shujaa wa Manchester City baada ya kufunga bao la ushindi lililoihakikishia timu yake ushindi muhimu wa mabao 2-1 dhidi ya Arsenal FC, matokeo yaliyotikisa mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England. City walianza kwa kasi na kupata bao la kwanza kupitia Rayan Cherki, aliyefunga bao la kuvutia baada ya kupita mabeki kadhaa…

Read More