LEO ni leo Muungano Cup Fainali, saa 2:15 usiku Uwanja wa New Amaan Complex, Yanga SC vs Simba SC huku kila timu ikivutia kwake kombe.
Mabingwa watetezi ni Yanga SC walitwaa taji hilo 2025 je nani atakuwa bingwa leo? Matokeo yatajulikana kwa kuwa hakuna kujivunja.
Hapa tunakuletea takwimu za magoli na wafungaji namna hii:-
Takwimu za magoli
Timu |
Mechi zilizochezwa |
Magoli yaliyofungwa |
Magoli yaliyofungwa dhidi yao |
Yanga SC |
2 |
6 |
1 |
Azam FC |
2 |
3 |
2 |
Simba SC |
2 |
4 |
0 |
Mlandege FC |
2 |
2 |
4 |
Hatua |
Mechi/Timu husika |
Mchezaji aliyechaguliwa |
|||
Robo fainali |
Yanga SC vs Muembe Makumbi |
Shekhan Khamis (Yanga SC) |
|||
Nusu fainali |
Yanga SC vs Azam FC |
Duke Abuya (Yanga SC) |
|||
Robo fainali |
KVZ vs Azam FC |
Ngita Jean (Azam FC) |
|||
Robo fainali |
Simba SC vs Mafunzo SC |
Semfuko Daud (Simba SC) |
|||
Nusu fainali |
Mlandege FC vs Simba SC |
Neo Maema (Simba SC) |
|||
Robo fainali |
Mlandege FC vs Singida Black Stars |
Mbappe (Mlandege FC) |
|||
Mchezaji |
Timu |
Idadi ya Magoli |
|||
Prince Dube |
Yanga SC |
3 |
|||
Shekhan Khamis |
Yanga SC |
2 |
|||
Ngita Jean |
Azam FC |
2 |
|||
Seleman Mwalimu |
Simba SC |
2 |
|||