NBC Premier League ratiba ya wiki ya 3

MZUNGUKO wa 3 msimu wa 2026/27  unaendelea na hii hapa ratiba ya wiki ya 3

Singida Black Stars vs Simba SC, Agosti 22,2026, Uwanja wa Airtel

Geita Gold vs Kagera Sugar, Agosti 22,2026, Uwanja wa Bukombe

Mbeya City vs Mashujaa FC, Uwanja wa Sokoine, Agosti 23,2026

Azam FC vs Pamba Jiji FC, Uwanja wa Azam Complex, Agosti 23,2026

Yanga SC vs JKT Tanzania, Uwanja wa KMC Complex, Agosti 24,2026

Coastal Union vs TRA United, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Agosti 24

Namungo FC vs Fountain Gate, Uwanja wa Majaliwa, Agosti 25,2026

Dodoma Jiji FC vs Polisi Tanzania, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Duniani kote kinapatikana mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.