Singida Black Stars 1-2 Simba SC

Mchezo umekamilika kwa wababe wawili katika msako wa pointi 3 muhimu ubao wa Uwanja wa Airtel umesoma Singida Black Stars 1-2 Simba SC. Wenyeji Singida Black Stars wamepata bao kupitia kwa nyota Shekhan Ibrahim ilikuwa dakika ya 23. Kwa upande wa Simba SC ambao walikuwa ugenini wamepata mabao kupitia kwa kiungo mshambuliaji Clatous Chama dakika…

Read More

NBC Premier League ratiba ya wiki ya 3

MZUNGUKO wa 3 msimu wa 2026/27  unaendelea na hii hapa ratiba ya wiki ya 3 Singida Black Stars vs Simba SC, Agosti 22,2026, Uwanja wa Airtel Geita Gold vs Kagera Sugar, Agosti 22,2026, Uwanja wa Bukombe Mbeya City vs Mashujaa FC, Uwanja wa Sokoine, Agosti 23,2026 Azam FC vs Pamba Jiji FC, Uwanja wa Azam…

Read More