Djigui Diarra Afungiwa Mechi Tatu, Atakiwa Kulipa Faini ya Milioni 4
Mlinda mlango wa klabu ya Young Africans SC, Djigui Diarra, amefungiwa kucheza mechi tatu pamoja na kutozwa faini ya shilingi milioni mbili (Tsh. 2,000,000) kutokana na makosa ya nidhamu yaliyotokea katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar FC. Kwa mujibu wa taarifa za adhabu hiyo, Diarra ameadhibiwa baada ya kumshambulia mwamuzi wakati wa mchezo huo, tukio…