Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu
Klabu ya Yanga, imetangaza kumrejesha kocha Abdihamid Moalin kuwa kocha Msaidizi chini ya Kocha Mkuu Pedro Gonçalves hatua ambayo klabu hiyo imeeleza kuwa imalenga kutatua changamoto ya kiufundi klabu hiyo inayopelekea kupata wakati mgumu kupata matokeo mazuri na kucheza vizuri. Taarifa ya Machi 23, 2026 iliyotolewa na klabu hiyo na klabu hiyo baada ya kikao…