HT: Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC
HT: Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC, NBC Premier League, Uwanja wa CCM Kirumba, Machi 19,2026. Simba SC walianza kufunga dakika ya 33 ni Anicent Oura alifungua ukurasa na goli hilo lilidumu kwa dakika 3 kabla wenyeji kujaza mpira kimiani. James Mwashinga alifunga goli la usawa dakika ya 36 ya mchezo na kuwanyanyua mashabiki wa…