Simba SC yaingia ubaridi kuwakabili TRA United

WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuelelea mchezo wa NBC Premier League Simba SC vs TRA United, Machi 22, 2026 Uwanja wa Mej General Isahmuyo, wenyeji wameingiwa na ubaridi. Simba SC imetoka Mwanza kwenye mji wenye mawe mengi na ziwa Victoria ambapo walikuwa na mchezo wa ligi dhidi ya Pamba Jiji FC. Machi 19, 2026 ubao…

Read More

Mtibwa Sugar kamili kuikabili Yanga SC

Awadhi Juma, kocha msaidizi wa Mtibwa Sugar amesema wamefanya maandalizi mazuri kwa ajili ya mchezo wa ligi dhidi ya Yanga SC. Mtibwa Sugar kwenye msimamo ipo nafasi ya 9 pointi 21 baada ya mechi 16 inawakaribisha vinara Yanga SC wenye pointi 37 baada ya mechi 15. Awadhi amesema: “Tunatambua ni mchezo mgumu kulingana na ratiba…

Read More

Refa Aliyeinyima Yanga Penati Afungiwa Mizunguko Mitatu

Mwamuzi Ally Mnyupe kutoka Morogoro amefungiwa kuchezesha mechi kwa mizunguko mitatu (3) baada ya kushindwa kutafsiri ipasavyo sheria za mpira wa miguu katika mchezo kati ya Azam FC na Yanga. Katika mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa sare tasa, mwamuzi huyo alishindwa kutoa penalti kwa Yanga licha ya tukio la…

Read More

FT: Mashujaa FC 0-0 Azam FC

Mashujaa FC 0-0 Azam FC mchezo umekamilika kwa wababe kugawana pointi mojamoja katika Uwanja wa Lake, Tanganyika mwisho wa reli Kigoma. Matokeo haya yanaifanya Azam FC kusalia nafasi ya pili wakiongeza pointi moja kibindoni leo Machi 19,2026. Ni pointi 29 wanafikisha Azam FC baada ya mechi 15 NBC Premier League wakiwa hawajapoteza mchezo mpaka sasa…

Read More

FT: Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC

PAMBA Jiji FC 1-1 Simba SC ni matokeo rasmi mchezo wa NBC Premier League uliochezwa Uwanja wa Kirumba, leo Machi 19,2026. Alianza Anicent Oura alianza kufunga goli kwa Simba SC dakika ya 33 na dakika ya 36 James alifunga goli kwa upande wa Pamba Jiji FC. Licha ya mnyama kuanza kutangulia kufunga kwenye mchezo alikwama…

Read More