
YANGA KAMILI KUIVAA MARUMO KIMATAIFA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa maandalizi ya kuwakabili wapinzani wao Marumo Gallants yanakwenda sawa. Kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi tayari kimetia timu Afrika Kusini kwa mpango kazi wa kusaka ushindi Mei 17. Mchezo huo ni hatua ya nusu fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo mshindi wa jumla…