AUBA MAJANGA,AVULIWA UNAHODHA
KLABU YA Arsenal inayoshiriki Ligi Kuu England imemvua unahodha Pierre-Emerick Aubameyang na hatacheza kwenye mechi ya ligi dhidi ya West Ham kesho Jumatano usiku. Raia huyo wa Gabon kwake inakuwa ni majanga kuvuliwa kitambaa hicho pamoja na mwendo wake kuwa wa kusuasua kwa msimu wa 2021/22. “Kufuatia ukiukaji wake wa nidhamu wiki iliyopita, Pierre-Emerick Aubameyang…