
ARSENAL YAITULIZA WEST HAM UNITED KUELEKEA X MASS
WAMEANZA kutamba sasa kuelekea msimu wa X Mass Arsenal wamefanikiwa kubakiza pointi tatu muhimu katika uwanja wao wa nyumbani. Ni katika mchezo wa Ligi Kuu England Arsenal imesepa na pointi tatu muhimu mbele ya West Ham United baada ya ushindi wa mabao 2-0. Mabao ya Martinell dakika ya 48 na Smith Rowe ambaye alianzia benchi…