
CR 7 KUVUNJIWA MKATABA MAN U
UONGOZI wa Manchester United umeweka wazi kuwa uko tayari kuvunja mkataba wa staa wao raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo. Sababu hiyo inakuja kutokana na staa huyo kuikosoa timu hiyo kupitia mahojiano ya moja kwa moja ya kipindi cha Talk TV cha mwandishi, Piers Morgan. Kwenye kipindi hicho Ronaldo alitoa tathmini nzito kuhusu Manchester United huku…