TAIFA STARS MNA DENI KWA WATANZANIA,INAWEZEKANA
ILIKUWA ngumu kuweza kupata ushindi kwenye mchezo wa kwanza kutokana na mbinu kuonekana kuwa ngumu pia kwa timu zote mbili. Hakika kwa mwanzo mkiwa nyumbani licha ya kwamba Somalia wao walikuwa wenyeji bado wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars mna deni la kulipa. Hakika mashabiki wanapeda kushangilia na kuona matokeo yanapatikana kwa…