REKODI ZA WANAOWANIA TUZO YA KIUNGO BORA BONGO

    SUALA la muda tu leo kwa wachezaji na watu wa mpira kuweza kupokea tuzo kwa msimu wa 2021/22 kupitia kwa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

    Ni Julai 7 zinatarajiwa kufanyika kwenye Ukumbi wa Rotana Hotel, hapa Spoti Xtra inakuletea walichokifanya mastaa wanaowania tuzo ya kiungo bora kwa msimu wa 2021/22 ambapo wote wanatoka kikosi cha Yanga:-

    Feisal Salum

    Kiungo huyu Fei kacheza mechi 26 na kuyeyusha dakika 2,071 katupia mabao 6 akiwa na asisti 4 na ameonyeshwa kadi za njano jumla ni 3 kwenye mechi tofauti za ligi na hizi hapa ni mechi zake:-

    Mechi zake

    Kagera Sugar dk 77

    Geita Gold,dk 90

    KMC,dk 90

    Azam FC dk 90

    Ruvu dk 80

    Namungo,dk 90

    Mbeya Kwanza dk 90

    Simba,dk 90

    Prisons dk 67

    Biashara United,dk 90

    Dodoma Jiji,dk 74

    Coastal Union dk 80

    Mbeya City,dk 40

    Mtibwa Sugar dk 90

    Geita Gold,dk 90

    KMC,dk 90

    Namungo,dk 90

    Simba,dk 79

    Ruvu Shooting,dk 45

    Prisons,dk 90

    Dodoma Jiji,dk 77

    Biashara United,dk 90

    Coastal Union,dk 85

    Polisi Tanzania,dk 90

    Mbeya City,dk 10

    Mtibwa Sugar dk 90

    Sure Boy

    Salum Aoubhakari,’Sure Boy’ aliibuka ndani ya kikosi cha Yanga akitokea Azam FC ambapo alipokuwa huko msimu wa 2021/22 alishindwa kuanza kikosi cha kwanza kutokana na kusimamishwa kwa kile kilichoelezwa ni utovu wa nidhamu mpaka alipoomba kuondoka hapo.

    Akiwa ndani ya Yanga msimu huu amecheza mechi 14 kasepa na dakika 1,033 ameonyeshwa kadi za njano mara 2 kwenye mechi tofauti za ligi akiwa na asisti 1 na hizi hapa ni mechi zake:-

    Dodoma Jiji,dk 7

    Mbeya City,dk 7

    Mtibwa Sugar,dk 72

    Kagera Sugar,dk 86

    Geita Gold,dk 90

    KMC dk 90

    Azam FC dk 90

    Namungo,dk 12

    Simba,dk 1

    Ruvu Shooting, dk 90

    Prisons, dk 70

    Dodoma Jiji dk 90

    Mbeya Kwanza dk 59

    Polisi Tanzania,dk 90

    Mbeya City,dk 90

    Yannick Bangala

    Kiungo huyu ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi akiwa amecheza mechi 23 kayeyusha dakika 2,074 ana asisti 1 ameonyeshwa kadi za njano 3 kwenye ligi katika mechi tofauti na hizi hapa ni mechi zake:-

    Kagera Sugar dk 90

    Geita Gold,dk 90

    KMC dk 81

    Azam FC dk 90

    Ruvu Shooting,dk 90

    Namungo,dk 90

    Simba,dk 90

    Biashara United,dk 90

    Dodoma Jiji,dk 90

    Coastal Union,dk 90

    Polisi Tanzania,dk 90

    Mbeya City,dk 90

    Mtibwa Sugar,dk 90

    Kagera Sugar,dk 90

    Geita Gold,dk 90

    KMC,dk 90

    Namungo,dk 90

    Simba,dk 90

    Ruvu Shooting,dk 90

    Prisons,dk 90

    Dodoma Jiji,dk 13

    Mbeya Kwanza,dk 90

    Mbeya City,dk 90

    Previous articleSAUTI:KIKOSI KIPYA CHA YANGA CHEKI KILIVYO
    Next articleVIDEO:MPANGO WA UJENZI WA UWANJA YANGA UMECHORWA HIVI