
CR 7 AWAKA KISA BALLON d’OR
CRISTIANO Ronaldo, nyota wa kikosi cha Manchester United ametoa ujumbe wenye hasira kuhusu Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia, (Ballon d’Or) baada ya mpinzani wake Lionel Messi kushinda. Mshambuliaji huyo wa Manchester United amemshutumu bosi wa Ballon d’or Pascal Ferre aliyetamka kuwa ndoto kubwa ya Ronaldo ni kumaliza maisha yake ya soka akiwa na tuzo…