Home Sports BREAKING:VIDEO:SURE BOY RASMI NI MALI YA YANGA Sports BREAKING:VIDEO:SURE BOY RASMI NI MALI YA YANGA December 24, 2021 FacebookTwitterPinterestWhatsApp RASMI uongozi wa Yanga umeweka wazi kwamba umemalizana na nyota wa Azam FC, kiungo Salum Aboubhakari ukiwa ni usajili wa kwanza kwenye dirisha dogo ambalo limefunguliwa Desemba 16,2021 na linatarajiwa kufungwa Desemba 16.