DAKIKA 45,SIMBA 0-0 YANGA
UWANJA wa Mkapa leo Desemba 11 inachezwa Dabi ya Kariakooo ambapo kwa sasa muda ni mapumziko. Mpaka dakika 45 za awali zinameguka ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Simba 0-0 Yanga. mchezo wa leo ushindani ni mkubwa ambapo timu zote zimekuwa zikipambana kusaka ushindi ila milango ni migumu. Feisal Salum eneo la kati limekuwa mali…