GEITA NDANI YA SUDAN, MPOLE ABAKI DAR
GEITA Gold imewasili nchini Sudan kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Hilal Alsahiri utakaochezwa kesho Jumapili. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, Felix Minziro inaipeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga za kimataifa. Mshambuliaji wa timu hiyo George Mpole alipata maumivu kwenye maandalizi ya mwisho kabla…