
YANGA KUPELEKWA MANUNGU
OFISA Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru ameweka wazi kwamba hawafikirii kuacha kuutumia Uwanja wa Manungu kwa wakati huu kwenye mechi za Ligi Kuu Bara ambazo zipo mbele yao ikiwa ni pamoja na ile dhidi ya Yanga. Kifaru amesema kuwa uwekezaji ambao wameufanya unawapa nguvu ya kutumia uwanja wao bora ambao upo kwenye viunga vya…