Home Sports RATIBA YA MECHI ZILIZO KATIKA KALENDA YA FIFA ZITAPIGWA KWA MKAPA

RATIBA YA MECHI ZILIZO KATIKA KALENDA YA FIFA ZITAPIGWA KWA MKAPA

HIZI hapa mechi za kirafiki zitapigwa Uwanja wa Mkapa zipo kwenye kalenda ya FIFA

Tanzania v Central Africa Republic, Machi 23,2022 saa 1:00 usiku.

Central Africa Republic v Sudan, Machi 26,2022 saa 10:00 jioni.

Tanzania v Botswana, Machi 26,2022 saa 1:00 usiku.

Tanzania v Sudan,Machi 29,saa 1:00 usiku.

Kwa sasa wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania wameanza maandalizi ya mechi hizo.

Previous articleSERENGETI GIRLS WAREJEA BONGO NA USHINDI
Next articleWACHEZAJI TUKUMBUKE KUWALINDA WACHEZAJI