Home Sports VIDEO:MREMBO ASIFU KIWANGO CHA MANULA,TUMEFUNGWA KIBINGWA

VIDEO:MREMBO ASIFU KIWANGO CHA MANULA,TUMEFUNGWA KIBINGWA

WAWAKILISHI wa kimataifa Simba, jana Machi 20 walipoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya ASEC Mimosas kwenye mchezo uliochezwa nchini Benin mrembo wa Simba amebainisha kuwa wamefungwa kibingwa huku akimpa pongezi kipa namba moja wa Simba Aishi Manula ambaye aliokoa penalti mbili.

Previous articleMOTO ULIVURUGA MAMBO AJAX V FEYENOORD
Next articleFEISAL ALINYOOSHWA MBELE YA KMC