
KMC WAIVUTIA KASI MTIBWA SUGAR
KIKOSI cha KMC FC leo Mei 9 kimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Alhamisi ya Mei 12 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Timu hiyo ya Manispaa ya Kinondoni chini ya Kocha Mkuu, Thierry Hitimana inajiandaa na mchezo huo muhimu ikiwa nyumbani na hivyo…