
KOCHA MAN U ANAMKUBALI MARTIAL
TEN Hag, Kocha Mkuu wa Manchester United ameweka wazi kuwa ana imani na mshambuliaji wake Anthony Martial. Mshambuliaji huyo hajawa kwenye mwendo bora ndani ya timu hiyo lakini kocha amekubali kazi yake. Nyota huyo mwenye miaka 27 amekuwa na msimu mbaya chini ya Ten Hag ambapo amekuwa na majeraha ya mara kwa mara akiwa amekosa…