Sunday, May 19, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7878 POSTS 0 COMMENTS

SAUTI:VITA YA UFUNGAJI BORA PHIRI NA MAYELE YAKOLEZWA

0
VITA ya ufungaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara yakolezwa kati ya Moses Phiri na Mayele Fiston

MASTAA WANNE YANGA KUIKOSA ZALAN FC, MORRISON, DJUMA

0
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa mastaa wake wanne wanatarajia kukosekana kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Zalan FC...

HAALAND ASEPA NA TUZO YA MCHEZAJI BORA

0
STAA wa Manchester City Erling Haaland ametajwa kuwa Mchezaji Bora Premier katika mwezi Agosti, (mwezi uliopita). Mshambuliaji huyo Mnorway ametwaa tuzo hiyo baada ya kuanza...

HATMA YA JUMA MGUNDA SIMBA IMEKAA HIVI

0
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa umempa mkataba wa muda kocha Juma Mgunda na hatma yakeipo kwa kocha mpya ambaye atakuja kukinoa kikosi hicho hivi...

MWAMBA HUYU HAPA, NABI ACHEKELEA KISINDA KURUHUSIWA

0
MWAMBA huyu hapa, Nabi achekelea Kisinda kuruhusiwa, amuingiza kikosi cha kwanza, Simba:Tunawashushia Wamalawi full mziki, Inonga ashusha presha

MERIDIANBET WAUNGA MKONO KAMPENI YA BUKU YA HEDHI SALAMA

0
Meridianbet wameunga mkono jitihada za kampeni ya Buku ya Hedhi salama inayoratibiwa na Shufaa Hemed Nasoro. Kampeni hii ilikuwa imelenga kuchangisha michango ya kiwango cha...

VIDEO:KOCHA NABI ABAINISHA UCHOVU UNAWASUMBUA WACHEZAJI

0
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wanasumbuliwa na tatizo la uchovu kutokana na kucheza mechi mfululizo lakini apo tayari kwa...

VIDEO:YANGA WANAISHI KISHUA,CHEKI KAMBI YAO

0
TAZAMA mwanzo mwisho namna Yanga wanavyoishi kishua

VIDEO:MORRISON, LOMALISA ,DJUMA KUWAKOSA ZALAN FC

0
KUELEKEA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika,kati ya Yanga v Zalan FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa mastaa wa Yanga wanatarajiwa kuukosa mchezo huo...

MKALI WA MIPIRA MIREFU AMEFUNGUA AKAUNTI YA MABAO

0
HASSAN Nassoro kiungo wa Mbeya City ni miongoni mwa wazawa wenye uwezo wa kupiga mipira mirefu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Kiungo huyo mwenye...

EPL YARUDI NDANI YA DStv WIKIENDI HII

0
DStv wanaenedelea kuwa mstari wa mbele kuwaletea wapenzi wa soka mechi hizi na tiketi yako ni dikoda tu! Kwa ofa yao kabambe ya TSH 69,000...

SIMBA YAOMBA SAPOTI YA MASHABIKI

0
MOHAMED Hussein,nahodha msaidizi wa Simba amesema kuwa mashabiki wa timu hiyo wanapaswa kuendelea kuwa pamoja nao kwenye mechi zote wanazocheza ili kuwapa nguvu ya...

LUSAJO MTU KAZI NDANI YA LIGI KUU BARA

0
MZAWA Reliats Lusajo ni mtu wa kazikazi kwenye kikosi cha timu hiyo katika mechi za Ligi Kuu Bara ujue umeona pointi kutokana na nyota...

SAUTI:MOSES PHIRI AMTANGAZIA VITA MAYELE

0
MSHAMBULIAJI wa Simba Moses Phiri amemtangazia vita mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele na wote kwenye ligi wametupia mabao matatumatatu

MASTAA SIMBA WAPEWA ANGALIZO KIMATAIFA

0
CLATOUS Chama, kiungo wa Simba pamoja na wachezaji wengine ikiwa ni nahodha John Bocco, Moses Phiri na Aishi Manula wamepewa angalizo kuelekea mchezo wao...

CR 7, SANCHO WAWAPA FURAHA MASHABIKI UNITED

0
UWANJA wa Zimbru kwenye mchezo wa Europa kwa kundi E ni mabao mawili Sheriff walishuhudia yakizama nyavuni huku watupiaji wakiwa ni Jadon Sancho dakika...

VIDEO: CHEKI MASTAA SIMBA WALIVYOREJEA DAR

0
MASTAA wa Simba tayari wamereja Dar wakitokea Mbeya walipokuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons na ulikuwa mchezo wa kwanza...