
KOCHA SIMBA APISHANA NA TUZO
KOCHA Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha amepishana na tuzo ya kocha bora baada ya kuingia kwenye tatu bora ya wale wanaowania tuzo hiyo. Mrithi huyo wa mikoba ya Roberto Oliveira alikuwa kwenye chungu kimoja na Walid Regragui wa Morocco pamoja na Aliou wa Senegal. Mwisho kwenye usiku wa tuzo kocha bora kwa timu za wanaume…