
ANAKUJA MSHAMBULIAJI WA KAZI NDANI YA YANGA
ANAKUJA mshambuliaji wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kwa ajili ya kuongeza nguvu eneo la ushambuliaji katika kikosi hicho kwa kuwa baada ya kuondoka Fiston Mayele bado Yanga imekuwa ikipambana kumpata mbadala wake.