Messi Aibuka Mshindi wa Tuzo ya Best Soccer Player ESPY 2026
Lionel Messi ametwaa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka (Best Soccer Player) kwenye Tuzo za ESPY 2026, baada ya kuwashinda nyota wengine watatu waliokuwa kwenye orodha ya wanaowania tuzo hiyo; Ousmane Dembélé wa PSG na Ufaransa, Alexia Putellas wa Barcelona na Hispania, pamoja na Temwa Chawinga wa KC Current na Malawi. Tuzo hiyo ilitangazwa usiku…