Mpanzu afurahia kubaki ndani ya Simba SC

ELLIE Mpanzu winga wa Simba SC, raia wa DR Congo amesema kuwa ni furaha kwake kusalia katika familia ya timu hiyo kwa muda mwingine tena. Machi 23,2026 taarifa rasmi kutoka Simba SC ilieleza kuwa winga huyo mwenye pasi 5 za mabao msimu wa 2025/26 ndani ya NBC Premier League ameongeza kandarasi ya miaka miwili. Awali…

Read More

Simu Mpya Inakusubiri! Jiunge na Promosheni ya Meridianbet

Inawezekana kabisa kupata Samsung Mpya kabisa kwa wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet. Kupitia promosheni yako ya Bet Online ndugu mteja una nafasi ya kuchukua Samsung A26 hapa. Katika msimu huu wa burudani na ushindani mkali ndani ya ulimwengu wa soka, Meridianbet imewasha moto mpya unaowapa wachezaji wote sababu ya kuongeza hamasa wanapotazama na kubashiri mechi…

Read More

Yanga SC yadunda na rekodi yake, Pedro kujadiliwa

Yanga SC chini ya Kocha Mkuu Pedro Goncalves inaendelea kundunda na rekodi yake kuwa miongoni mwa timu ambazo hazijafungwa ndani ya NBC Premier League, 2025/26. Timu hiyo imecheza jumla ya mechi 16 ikipata ushindi kwenye mechi 11, sare 5 ikiwa haijapoteza mchezo. Imekusanya jumla ya pointi 38 ndani ya ligi mchezo wake wa 16 iligawana…

Read More

TVBET Yatoa Fursa Mpya ya Michezo ya Kasino ya Haraka Meridianbet

Wapenzi wa michezo ya kasino wamekua wakitafuta burudani inayoweza kuwapa matokeo haraka bila kusubiri kwa muda mrefu. Meridianbet imejibu hitaji hilo kwa kuleta TVBET, mfumo wa michezo mubashara unaowapa wachezaji nafasi ya kucheza raundi nyingi ndani ya muda mfupi na kufurahia matokeo yanayotokea papo hapo. Kupitia TVBET, wachezaji wanaweza kushiriki michezo maarufu na yenye msisimko…

Read More