Gates of Olympia Yatoa Zaidi ya Tsh Milioni 248 kwa Washindi Ndani ya Wiki Mbili

Katika kipindi cha nusu mwezi pekee, Meridianbet imeandika historia kupitia mchezo wake wa kasino Gates of Olympia. Kuanzia Julai 01 hadi 15, mchezo huu umetoa zaidi ya Tsh. 248,524,000/= kwa washindi wake. Hii ni takwimu inayosisimua na kuonyesha ukubwa wa bahati iliyoshuka kwa wachezaji wa Tanzania. Gates of Olympia ni mchezo unaojulikana kwa mandhari ya…

Read More

Simba Yaanza Mabadiliko Makubwa, Yaaga Wachezaji Saba

Klabu ya Simba SC imetangaza rasmi kuachana na wachezaji saba ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuboresha kikosi kuelekea msimu mpya wa mashindano. Kupitia kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii, Simba imewapongeza na kuwashukuru wachezaji hao kwa mchango wao walioutoa ndani ya klabu, huku ikiwatakia mafanikio mema katika hatua zinazofuata za maisha yao ya…

Read More

Shilingi 500 Tu Zakuingiza Kwenye Mbio za Milioni 5 za Meridianbet

Meridianbet inaendelea kubadilisha namna wapenzi wa kasino wanavyofurahia michezo ya sloti kwa kuwaletea Expanse Treasure Hunt, promosheni inayochochea ushindani na kufungua milango ya ushindi mkubwa. Hapa kila raundi ni hatua mpya ya kuelekea kwenye hazina ya mamilioni. Ukiwa ndani ya Meridianbet, utakutana na michezo ya Expanse iliyobeba nafasi ya kukuweka kwenye msimamo na kukusogeza karibu…

Read More

Msichana wa Maisha Yangu ipo mezani tayari

BAADA ya kusubiri kwa muda ile simulizi nzuri ya maisha na masuala ya teknolojia kutoka kwa Best Seller Author, Lunyamadzo Mlyuka hatimaye kazi imefika mezani. Ni yuleyule mtunzi wa Msichana wa Maisha Yangu na Moyo Wangu Unavuja Damu safari hii amekuja na kazi mpya inayoitwa Msichana wa Maisha Yangu. Kwa ufupi kuhusu simulizi: Tatizo la…

Read More

Jitose Kwenye Kina cha Bahari na Ushinde Kupitia Meridian Scatter Whale

Wapenzi wa michezo ya kasino siku zote hutafuta kitu kipya kinachoweza kuwapa burudani ya kipekee pamoja na msisimko wa ushindi, na safari hiyo sasa imepata mwelekeo mpya kupitia Meridian Scatter Whale kutoka Meridianbet. Huu ni mwaliko wa kuingia kwenye ulimwengu wa bahari uliojaa maajabu, siri na fursa zisizohesabika za kujishindia zawadi zinazovutia. Kuanzia unapoufungua mchezo…

Read More

France na Spain Kukutana Leo Katika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2026, Mbappé na Yamal Waandika Sura Mpya

Kuna mechi ambazo huwa tu mechi, na kuna mechi ambazo huandika historia kabla hata hazijaanza. Ile ya leo kati ya France na Spain, itakayoanza saa 22:00 usiku. Ni nusu fainali ya kwanza ya michuano ya Dunia 2026, na wengi tayari wanaiita “fainali kabla ya fainali.” Sababu ni rahisi hizi ndizo timu mbili zilizoingia kwenye mashindano…

Read More

Meridianbet yakabidhi vifaa vya usafi Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni, yaendeleza dhamira ya kuigusa jamii

Wakati wengi wakiitambua Meridianbet kama moja ya majukwaa yanayoongoza kwa michezo ya kasino mtandaoni na ubashiri wa mechi zenye ushindani mkubwa, kuna simulizi nyingine inayozidi kuvutia mioyo ya Watanzania. Ni simulizi ya kampuni inayoamini kuwa mafanikio ya kweli hayapimwi kwa idadi ya michezo pekee, bali pia kwa mchango wake katika kuboresha maisha ya jamii. Meridianbet…

Read More