Beki wa kazi Simba SC aanza matizi

RASMI beki wa kazi ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Steve Barker ameanza mazoezi maalumu ili kurejea katika ubora. Ni Abdulrazack Hamza ambaye alipata maumivu kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga SC uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Anatarajiwa kuwa nje kwa msimu mzima akipambania hali yake ikiwa atatengamaa mapema…

Read More

Rais wa Senegal Ailipua CAF “Hatutashiriki Tena AFCON!”

Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametoa tamko kwa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) kufuatia uamuzi wa kushtua wa kuipokonya nchi yake taji la AFCON 2025 na kuwapa Morocco. Katika kauli iliyosambaa katika mitandao ya kijamii, Rais Faye amenukuliwa akisema: “Kama CAF haitabadilika na kuendelea kunyonya na kuingiza rushwa katika soka la Afrika, Senegal…

Read More

Nani Kusonga Hatua ya Robo Fainali UEFA Leo? Liverpool, Bayern, Barca na Atletico

Pilikapilika za Ligi ya Mabingwa bado zinaendelea huku mechi za mkondo wa pili zikipamba moto. Kila timu inahitaji kushinda ili kwenda hatua inayofauata. Je nani unampa beti yako Liverpool ataumana dhidi ya Galatasaray Instanbul baada ya mechi ya kwanza kupigika kule Uturuki. Slot anahitaji ushindi kwenye mtanange huu wa leo ili ajiweke vyema kwenye mbio…

Read More

Senegal Wakataa Kurudisha Kombe la AFCON, Wailipua CAF

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limekosoa uamuzi wa CAF kuwatangaza kupoteza mechi ya fainali ya AFCON 2025 , na hivyo ushindi wa mezani wa mabao 3–0 kutolewa kwa Morocco . FSF limeahidi kupeleka rufaa kwa Mahakama ya Michezo (CAS) huko Lausanne. Katibu Mkuu wa FSF, Abdoulaye Sow, amesema:“Kombe halitaondoka nchini Senegal ina haki, na…

Read More

Arsenal, Real Madrid na Paris Saint-Germain Watinga Robo Fainali UEFA kwa Kishindo

Timu za Arsenal, Real Madrid na Paris Saint-Germain zimefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya UEFA Champions League baada ya kuonyesha ubora mkubwa katika michezo ya hatua ya 16 bora iliyopigwa usiku wa kuamkia leo. PSG Waidhalilisha Chelsea kwa Mabao 3-0 Katika dimba la Stamford Bridge, Paris Saint-Germain waliendeleza ubabe wao kwa kuichapa Chelsea mabao…

Read More

Ratiba ya NBC Premier League 2025/26 hii hapa

NBC Premier League inazidi kushika kasi huku vinara wakiwa ni Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves wao ni mabingwa watetezi. Machi 18,2026 kuna mechi mbili ambazo zinatarajiwa kuchezwa kwenye ratiba namna hii:- TRA United vs Yanga SC, saa 10:15, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Tanzania Prisons vs Singida Black Stars, saa 2:15, Uwanja…

Read More

TRA United vs Yanga SC kupigwa kesho

TRA United vs Yanga SC kupigwa kesho Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ikiwa ni ratiba ya NBC Premier League. Yanga SC vinara wa ligi wanaingia uwanjani wakiwa wametoka kucheza mchezo mgumu dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Mkapa. Katika mchezo huo uliochezwa Machi 15,2026 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Azam FC 0-0 Yanga SC…

Read More

Soko la Michezo ya Kubahatisha La Stake Lapata Nguvu Kutoka Expanse Studios

Sekta ya michezo ya kubahatisha duniani imepata habari njema baada ya Expanse Studios kutangaza rasmi ushirikiano mpya na jukwaa kubwa la ubashiri la kimataifa, Stake. Hatua hii inakuja baada ya mafanikio makubwa ya kampuni hiyo katika kushirikiana na wadau mbalimbali wa tasnia, akiwemo Meridianbet. Ushirikiano huu unatarajiwa kuleta msisimko mpya kwa wachezaji huku ukipanua upatikanaji…

Read More

Jonathan Sowah hatihati kuondoka Simba SC

MSHAMBULIAJI namba moja wa Simba SC, Jonathan Sowah kuna hatihati kuondoka ndani ya kikosi hicho kutokana na tatizo la nidhamu. Sowah ndani ya NBC Premier League amefunga magoli matatu akiwa ni miongoni mwa wachezaji wenye magoli mengi ndani ya kikosi hicho. Kwa sasa Sowah hayupo kwenye mipango ya timu hiyo kutokana na kile kilichoelezwa alisimamishwa…

Read More