Kiangazi cha Mabilioni Kinakumulika Kupitia Evoplay Summer Season of Legends

Katika kipindi ambacho burudani ya kidijitali imekuwa sehemu ya maisha ya kila siku ya vijana wengi, Meridianbet imekuja na tukio ambalo linaweza kubadilisha kabisa namna watu wanavyoona mashindano ya kasino mtandaoni. Kupitia Evoplay Summer Season of Legends, wachezaji wanapewa nafasi ya kushindania zawadi kubwa inayofikia zaidi ya shilingi bilioni moja za Kitanzania. Hii ni fursa…

Read More

Kikosi cha Azam FC vs Simba SC

LEO Juni 4,2026 Simba SC vs Azam FC watamenyana mchezo wa fainali CRDB Cup, Uwanja wa Gombani huku Air Manula akianza langoni. Wengine ni Lusajo, Msindo, Lawi, Fuentes, Himid Mao, Sopu, Bin Zayd, Kitambala, Fei Toto, Idd Nado hawa watakuwa kikosi cha kwanza. Wachezaji wa akiba ni Foba, Twalib, Zouzou, Kibeku, Kanoute, Akamiko, Abah, Alobogast,…

Read More

Ndani Ya Dunia Ya Mzuka wa Mabingwa Bahati Inakutana Na Burudani

Kwa miaka mingi, wabashiri wamekuwa wakiamini kwamba fursa kubwa huja pale ambapo mtu anathubutu kujaribu. Falsafa hiyo ndiyo imeonekana kupewa uhai mpya kupitia promosheni ya Mzuka wa Mabingwa kutoka Meridianbet. Ikiwa umezoea kufuatilia michezo au kufurahia kasino mtandaoni, sasa unaweza kufanya hivyo huku ukifungua milango ya kushinda zawadi ambazo wengi wamekuwa wakiziota. Meridianbet imezindua promosheni…

Read More