Yanga Yawatambulisha Hussein Mihambo na Abdulnassir ‘Gamal’ Kutoka Mashujaa FC

Klabu ya Young Africans SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu mpya baada ya kutangaza rasmi usajili wa wachezaji wawili kutoka Mashujaa FC ya Kigoma. Yanga imemaliza usajili wa mshambuliaji Hussein Mihambo, ambaye anajiunga na mabingwa hao wa Tanzania Bara kwa lengo la kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji kufuatia kuondoka kwa mshambuliaji Prince Mpumelelo…

Read More

Meridianbet Yaandika Historia, Yawa Mshirika Rasmi wa UFC Fight Night Serbia

Kwa mara ya kwanza, UFC inaleta mapigano yake nchini Serbia, na Meridianbet imepewa heshima ya kipekee kuwa mshirika rasmi wa tukio hilo. Agosti 1, 2026, Belgrade Arena itakuwa uwanja wa historia, na mashabiki wa michezo ya kupigana watashuhudia tukio lisilosahaulika. Meridianbet, iliyoanzishwa Serbia mwaka 2001, imekuwa bega kwa bega na michezo ya mapigano kwa miaka…

Read More

Breaking: Yanga SC yatambulisha mshambuliaji mpya

RASMI mabingwa watetezi wa NBC Premier League wametambulisha mshambuliaji mpya ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu wa 2026/27 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkali. Nyota huyu anakuwa wa pili kutambulishwa kutoka kwa watoto wa Jangwani ambao wamebainisha kwamba wamekamilisha usajili wa nyota wapya zaidi ya wawili. Huyu anaitwa Hussen Mihambo aliyekuwa anakipiga ndani ya kikosi cha Mashujaa…

Read More

Simba SC yatambulisha wapya wawili

KUELEKEA msimu wa 2026/27 Simba SC imetambulisha nyota wapya wawili ambao imekamilisha usajili ikiwa ni maandalizi kwa mechi zijazo za ushindani. Simba SC itafungua mchezo wa kwanza wa NBC Premier League kwa kumenyana na Kagera Sugar , Agosti 16,2026 ikiwa ni mchezo wa kwanza kwenye msimu mpya. Wachezaji wote wawili ambao wametambulishwa wametoka timu za…

Read More

Monopoly Big Baller Yaibuka Mchezo Unaolipa Zaidi

Katika wiki mbili za mwanzo wa Julai, Meridianbet imeandika historia mpya kupitia mchezo wake wa kasino maarufu, Monopoly Big Baller. Washindi wa mchezo huu bora na wakisasa wamejikusanyia zaidi ya Tsh. 11,700,000/=, jambo linalothibitisha kuwa huu ni mchezo wa ushindi wa kweli. Kila siku, wachezaji wanaoshiriki mchezo huu wanajikuta wakipokea malipo makubwa, wakishuhudia akaunti zao…

Read More

FIFA Yamtangaza Mwamuzi wa Fainali ya Kombe la Dunia 2026 Argentina vs Hispania Kesho

hirikisho la Soka Duniani (FIFA) limemtangaza mwamuzi kutoka Slovenia, Slavko Vinčić, kuwa ndiye atakayechezesha fainali ya Kombe la Dunia 2026 kati ya mabingwa watetezi Argentina na Hispania, itakayopigwa kesho Jumapili Julai 18, 2026. Vinčić mwenye umri wa miaka 46 anapewa jukumu hilo miaka miwili baada ya kuchezesha fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions…

Read More

Gates of Olympia Yatoa Zaidi ya Tsh Milioni 248 kwa Washindi Ndani ya Wiki Mbili

Katika kipindi cha nusu mwezi pekee, Meridianbet imeandika historia kupitia mchezo wake wa kasino Gates of Olympia. Kuanzia Julai 01 hadi 15, mchezo huu umetoa zaidi ya Tsh. 248,524,000/= kwa washindi wake. Hii ni takwimu inayosisimua na kuonyesha ukubwa wa bahati iliyoshuka kwa wachezaji wa Tanzania. Gates of Olympia ni mchezo unaojulikana kwa mandhari ya…

Read More