Arsenal Yajiandaa Kuwasilisha Ofa ya Pauni Milioni 70 Kwa Bruno Guimarães
Mabingwa wa Ligi Kuu England, Arsenal, wanajiandaa kuwasilisha ofa ya pauni milioni 70 kwa ajili ya kumsajili nahodha wa Newcastle United, Bruno Guimarães, katika dirisha hili la usajili. Kiungo huyo wa kimataifa wa Brazil mwenye umri wa miaka 28 anaripotiwa kuwa miongoni mwa wachezaji wanaopewa kipaumbele na kocha wa Arsenal, huku ikielezwa kuwa naye yuko…