Mitandao Yachafuka Baada ya Kutoka kwa Wimbo Mpya wa Kombe la Dunia 2026
Wimbo mpya wa Kombe la Dunia 2026 unaoitwa Dai Dai kutoka kwa Shakira akimshirikisha Burna Boy umeanza kuzua mjadala mkubwa mitandaoni huku mashabiki wengi wakilinganisha na wimbo maarufu wa mwaka 2010 Waka Waka (This Time for Africa). Wimbo huo umetolewa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuelekea michuano ya Kombe la Dunia 2026 na tayari…