Yanga Yarudi Kileleni Baada ya Ushindi Mnono wa 3-0 Dhidi ya Singida Black Stars
Young Africans SC wamefanikiwa kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kupata ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex. Nyota wa mchezo huo alikuwa Allan Okello, ambaye alifunga mabao mawili na kufikisha jumla ya magoli 9 kwenye ligi…