Coastal Union vs Simba SC kazi inaendelea

Coastal Union vs Simba SC ni mchezo unaofuata kwenye ligi Mei 21, 2025 kwa wababe hawa kusaka pointi tatu muhimu uwanjani. Huu utakuwa mchezo wa mzunguko wa pili, walipokutana mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo ulisoma, Simba SC 2-0 Coastal Union. Coastal Union kwenye msimamo ipo nafasi ya 12 ina pointi…

Read More

Wachezaji wa Arsenal Waruka Kwa Furaha Baada ya Kutangazwa Mabingwa

Furaha kubwa ilitawala ndani ya kambi ya Arsenal baada ya timu hiyo kutangazwa rasmi kuwa mabingwa kufuatia Manchester City kushindwa kupata ushindi katika mchezo wao dhidi ya Brighton. Arsenal walikuwa tayari wamefanya kazi yao mapema baada ya kuichapa Burnley siku ya Jumatatu, hali iliyoweka presha kubwa kwa Manchester City ambao walihitaji ushindi ili kuendelea kusubiri…

Read More

Gates of Arabia Inawafanya Vijana Wanapiga Pesa, Badilisha siku yako

Kama bado hujacheza Gates of Arabia kutoka Meridianbet basi kuna burudani kali unaikosa kwa sasa. Mtaani watu wanazungumzia kucheza, jackpot na ushindi mkubwa kila kona. Huu sio mchezo wa kawaida, ni mchezo unaoweza kubadilisha siku yako haraka kuliko unavyofikiria. Unatia dau lako, reels zinaanza kuzunguka halafu presha inapanda taratibu ukisubiri kuona nini kinaingia. Ndani ya…

Read More

Mashabiki 60,000 Kuitingisha Emirates Katika Mechi ya Moto Dhidi Burnley leo

Mechi hii inapigwa saa 22:00 kwa muda Uwanja wa Emirates utakuwa umejaa hadi kifusi kwa takriban mashabiki 60,000, nao wanajulikana kwa kuimba nyimbo maalumu za kusukuma timu yao wakati wa mbio za ubingwa. Kwa upande wa Burnley kwa kuwa wameshashuka daraja, mashabiki wao watakuja. Lakini shinikizo la Emirates litakuwa kubwa Arsenal wakichelewa kufunga, mashabiki wanaweza…

Read More

Mashujaa FC 0-1 Azam FC, CRDB Federation Cup

Mashujaa FC 0-1 Azam FC, CRDB Federation Cup ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa leo Mei 17, 2026 hatua ya robo fainali CRDB Federation Cup. Matajiri wa Dar wameibuka na ushindi huo katika Uwanja wa Lake Tanganyika mwisho wa reli Kigoma kwa goli ambalo lilipachikwa dakika 45 za mwanzo. Anaitwa Idd Suleman maarufu kwa jina…

Read More

Simba SC 4-0 TRA United CRDB Federation Cup

Simba SC 4-0 TRA United CRDB Federation Cup ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa leo Mei 17, 2026 Uwanja wa KMC Complex hatua ya robo fainali. Matokeo haya yanaipa tiketi Simba SC kutinga hatua ya nusu fainali ambapo itakutana na Coastal Union iliyopata ushindi mbele ya Singida Black Stars kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani,…

Read More