AMEFICHUA SIRI ZA SIMBA BEKI WA KUPANDA NA KUSHUKA
BEKI wa kupanda na kushuka ambaye yupo kwenye ubora wake muda wote akiwa fiti akiwa ni mzawa anayefanya kazi kubwa uwanjani, Shomari apombe amefichua siri ndani ya Simba iliyowafanya wakashindwa kutusua kwenye Mapinduzi 2024 licha ya kuwa kwenye nafasi kubwa ya kutwaa taji hilo ambalo limeibukia Mlandege.