GUEDE: NAKUJA KUWAPA FURAHA YANGA
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Joseph Geude raia wa Ivory Coast hatimaye amefunguka kwa mara ya kwanza tangu ajiunge na timu hiyo kupitia dirisha dogo lililofungwa Jumanne ya wiki hii. Mshambuliaji huyo amekuja kuchukuwa nafasi ya mshambuliaji Hafiz Konkoni ambaye ametolewa kwa mkopo kwenda katika klabu ya Dogan Birligi ya nchini Cyprus. Yanga kupitia dirisha dogo…