
YANGA KAZI IMEANZA MAPEMA KUSHUSHA VYUMA VYA MAANA
YANGA kazi imeanza mapema ambapo wanatarajia kushusha vyuma vya maana kwa ajili ya kuboresha kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi.
YANGA kazi imeanza mapema ambapo wanatarajia kushusha vyuma vya maana kwa ajili ya kuboresha kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi.
MASTAA wa Yanga wamekuwa kwenye ubora wao ndani ya uwanja kwa kupambania ushindi ndani ya uwanja katika mechi ambazo wanacheza ambapo miongoni mwa wale wanaofanya vizuri ni pamoja na Joseph Guede, Aziz KI, Dickson Job. Yanga ni vinara wa ligi wanapambania kutwaa taji la 30 ndani ya Ligi Kuu Bara chini ya Kocha Mkuu, Miguel…
NYOTA wa Tabora United, Najim Musa ameweka wazi kuwa sababu kubwa iliyowafanya wakapoteza mchezo wao dhidi ya Simba, Uwanja wa Azam Complex ni kutokuwa na bahati. Kwenye mchezo uliochezwa Mei 6 2024 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Simba 2-0 Tabora United pointi tatu zikibaki kwa Mnyama, Simba. Ikumbukwe kwamba…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga baada ya kukomba pointi tatu dhidi ya Mashujaa wamerejea Dar kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Timu hiyo imekuwa kwenye mwendo mzuri ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 kutokana na kupata matokeo chanya kwenye mechi ambazo wanacheza uwanjani….
“Aziz Ki ni kweli anamaliza mkataba wake lakini kwa hapa sioni kama kuna timu ambayo Aziz anaweza kucheza, Aziz anahitajika na timu nyingi kwa hizi timu za Afrika Kusini Aziz hawezi kucheza na watu wanaofanya dhuluma namna ile” “Ziko ofa nyingi lakini kubwa ambalo naweza kuwaambia wanayanga, wachezaji bora ambao wamewaona kwenye kikosi chetu wanasalia…
Baada ya kuwa na matokeo ya kusuasua katika Msimu wa 2023/24, mambo bado hayajapoa kwa Manchester United ambayo imekubali kichapo cha magoli 4-0 kutoka kwa Crystal Palace kwenye mchezo wa Premier League Magoli ya Michael Olise (mawili), Jean-Philippe Mateta na Tyrick Mitchell yameifanya Palace kufikisha pointi 43 ikiwa nafasi ya 14 huku Man. United ikibaki…
FT: LIGI Kuu Bara Mzunguko wa pili Simba 2-0 Tabora United Sadio Kanoute goal dakika ya 19 Edwin Balua goal dakika ya77. Simba ipo Uwanja wa Azam Complex Dar kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Tabora United ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Ayoub Lakred ameanza langoni ikiwa ni mchezo wake wa tatu mfululizo…
FT: Uwanja wa Manungu Ligi Kuu Bara Mzunguko wa pili Mtibwa Sugar 0-2 Azam FC. Feisal Salum goal dakika ya 20 Gibril Sillah goal dakika ya 65. Mtibwa Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila inapambana kupata pointi tatu kujinusuru hatari ya kushuka daraja. Inapambana na Azam FC ambayo inasaka nafasi ya pili kufanikisha malengo…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wana jambo lao kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Manungu. Ni Morogoro mji kasoro bahari mchezo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili kwa wababe hao unatarajiwa kuchezwa kwa kila timu kusaka pointi tatu. Miongoni mwa wachezaji ambao wataanza kikosi cha kwanza ni pamoja…
MIAMBA wawli ndani ya kikosi cha Yanga, Aziz KI na Joseph Guede ni habari nyngine kutokana na kasi yao ndani ya uwanja kwenye kucheka na nyavu msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Aziz KI ni namba moja akiwa na mabao 15 kibindoni Guede katupia mabao matano
BAADA ya kupata ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar, hesabu za Simba ni kupata ushindi mbele ya Tabora United. Ikumbukwe kwamba Simba ilipata ushindi huo kwenye mchezo wa ligi baada ya kupukutisha siku 50 bila kuambulia ushindi kwenye mechi za ligi. Ngoma ilikuwa Simba 2-0 Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa…
BAKARI Mwamnyeto nahodha wa Yanga amesema kuwa kikubwa ambacho wanakihitaji kwenye mechi ambazo wanacheza ni pointi tatu. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mashujaa wakiwa Uwanja wa Lake Tanganyika, Mei 5 2024 walikomba pointi tatu mazima. Katika mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mashujaa 0-1 Yanga na bao la ushindi likifungwa…
Liverpool wamefufua matumaini yao ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England kufuatia ushindi mnono wa 4-2 dhidi ya Tottenham Hotspur katika dimba la Anfield. FT: Liverpool 4-2 Tottenham ⚽ Salah 16’ ⚽ Robertson 45’ ⚽ Gakpo 50’ ⚽ Elliott 59’ ⚽ Richarlison 72’ ⚽ Heung-Min 77’ MSIMAMO ?3️⃣ EPL ??????? ? Arsenal— mechi 36— pointi…
AMEWEKWA mtu kati mwamba wa Lusaka Clatous Chama akitajwa kuwa kwenye rada ya timu mbalimbali ambazo zinahitaji saini yake
Staa wa Bongo Fleva, Stamina ‘Shorobwenzi’ amesema kifo cha Dairekta Khalfani ni pigo kubwa kwa sanaa ya muziki wa kizazi kipya kwani alikuwa ni mtu wa kutegemewa linapokuja suala la kushoot video za nyimbo za wasanii. Amesema kwa taarifa ambazo alikuwa anazijua, ni kwamba Dairekta Khalfan alianguka akiwa kazini na baadaye akapelekwa Hospitali ya Lugalo…
LIGI Kuu Tanzania Bara inazidi kushika kasi ikiwa ni mzunguko wa pili ambapo timu zinaendelea kupambania pointi tatu. Ipo wazi kwamba vinara wa Ligi Kuu Bara Yanga ilisepa na pointi tatu kwenye mchezo wake Mei 5 2024 ubao uliposoma Mashujaa 0-1 Yanga bao likifungwa na Joseph Guede dakika ya 41 sasa inafikisha pointi 65. Mei…
Ukisikia Bosi kacheka ujue Maokoto yanafuatia, Kupitia promosheni pendwa ya Expanse iliyopo Meridianbet Kasino ya Mtandaoni unaweza kujishindia zawadi kibao, cha kufanya Jisajili Meridianbet kisha cheza shindano la Expanse ushinde. Mtoa huduma wa michezo ya kasino ya mtandaoni Expanse Studio anashirikiana na Meridianbet kuwaletea shindano kubwa la zawadi, mgao wa Mamilioni unakusubiri, kwa kucheza…