
SINGIDA BIG STARS YAIPIGIA HESABU YANGA
UONGOZI wa Singida Big Stars umeweka wazi kuwa upo tayari kwa mchezo wa hatua ya nusu fainali Azam Sports Federation dhidi ya Yanga. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lite, Mei 21 na mshindi wa mchezo huo atatinga hatua ya fainali. Ni Azam FC itakuwa inawatazama wababe hawa wawili kujua nani atacheza naye hatua ya…