USHINDANI KWENYE LIGI KUU BARA UENDELEE
MZUNGUKO wa kwanza bado unaendelea kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba kwa sasa timu nyingi zinapambana kufanya vizuri na kupata matokeo ndani ya uwanja. Kila timu inafanya vizuri ndani ya dakika 90 kusaka ushindi. Kushindwa kufanya vizuri kwenye mechi husika haina maana kwamba kazi itakuwa imekwisha hapana ni muhimu kupambana zaidi kwa…