
SENEGAL NDANI YA BONGO
INAINGIA kwenye rekodi mpya ndani ya Bongo kwa mchezaji anayecheza Ligi Kuu Bara kuitwa timu ya Taifa ya Senegal. Ni Pape Ousmane Sakho ameitwa kwenye Timu ya Taifa ya Senegal kwenda kujumuika na wenzake kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Msumbiji. Sakho bado hajawa kwenye mwendo mzuri…