
YANGA YAKOMBA POINTI MOJA KWA MKAPA
DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa Mkapa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Yanga kutoshana nguvu na Al Ahly. Ubao umesoma Yanga 1-1 Al Ahly ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Bao la Al Ahly lilifungwa dakika ya 86 kupitia kwe Percy Tau na lile la usawa ni mali ya Pacome Zouzoa dakika ya…